Header Ads


Mbunge Zitto Kabwe akamatwa na kupelekwa kituo cha Polisi Chang'ombe

Kiongozi wa Chama cha Act-Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini Mh. Zitto Kabwe, amekamatwa na Jeshi la Polisi asubuhi hii Oktoba 31, 2015 akiwa nyumbani kwake jijini Dar es salaam na amepelekwa kituo cha Polisi Chang'ombe.

Hii ni mara ya pili kwa mbunge huyo kukamatwa ndani ya siku 40. Mara ya mwisho alikamatiwa Uwanja wa Ndege wa Dar 
Post a Comment
Powered by Blogger.