Habari za sasa hivi

Katibu wa Bunge Ndg.Kigaigai azungumza na watumishi wa ofisi ya bunge mjini Dodoma.

 Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kigaigai akizungumza na Menejimenti ya Utumishi wa Bunge katika kikao cha kufahamiana kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Spika Mjini Dodoma. 
Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakimsikiliza Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen kigaigai (katikati) akizungumza wakati wa kikao cha kufahamiana na Menejimenti ya Utumishi wa Bunge kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Spika Mjini Dodoma.


 (PICHA NA OFISI YA BUNGE)