Hali ya upatikanaji wa dawa katika vituo vya afya Mwanza - Mtazamo News: Home

HABARI ZA HIVI PUNDE

advertise here +255755 300 337

Post Top Ad


Thursday, October 26, 2017

Hali ya upatikanaji wa dawa katika vituo vya afya Mwanza

Binagi Media Group
Serikali mkoani Mwanza imejizatiti vyema kuhakikisha kwamba hali ya upatikanaji wa dawa katika vituo vya afya, zahanati pamoja na hospitali inatosheleza mahitaji wa wananchi.

Mganga Mkuu mkoani Mwanza, Dkt.Leonard Subi amesema hali ya upatikanaji wa dawa za msingi mkoani humo ni zaidi ya asilimia 95 na kwamba zinatosheleza uhitaji uliopo.

No comments:

Post Top Ad

advertise here +255755 300 337