DC Mtaturu afungua mkutano juu ya maombi ya kurekebisha bei za huduma ya maji wilayani Manyoni - Mtazamo News: Home

HABARI ZA HIVI PUNDE

advertise here +255755 300 337

Post Top Ad


Friday, October 20, 2017

DC Mtaturu afungua mkutano juu ya maombi ya kurekebisha bei za huduma ya maji wilayani Manyoni


Mgeni Rasmi-Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Manyoni ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mhe Miraji Jumanne Mtaturu akizungumza wakati wa ufungua  wa Mkutano wa wadau na wateja wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira

Baadhi ya wadau na wateja wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira wakifatilia Mkutano

Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Manyoni ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mhe Miraji Jumanne Mtaturu akizungumza wakati wa ufungua  wa Mkutano wa wadau na wateja wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira. 
(Picha Zote Na Mathias Canal)

No comments:

Post Top Ad

advertise here +255755 300 337