Yaliyojiri Bungeni Mjini Dodoma leo Ijumaa Septemba 8,2017 - Mtazamo News
Tangaza Biashara yako Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Friday, 8 September 2017

Yaliyojiri Bungeni Mjini Dodoma leo Ijumaa Septemba 8,2017

 Mbunge wa Mlalo(CCM) Mhe.Rashid Shangazi akiuliza swali katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
 Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe.William Ole Nasha akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
 Mbunge wa Newala Mjini Mhe.Capt.George Mkuchika akiuliza swali katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
 Mbunge wa Mtama(CCM) Mhe.Nape Nnauye akizungumza jambo na Mbunge wa Kasulu Mjini Mhe.Daniel Nsanzugwako katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Dk Medard Kalemani akiteta jambo na Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha na Mipango Mhe.Dk Ashatu Kijaji katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
 Mbunge wa Kuteuliwa(CCM) Mhe.Anne KIlango Malecela akizungumza jambo na Mbunge wa Mtama(CCM) Mhe.Nape Nnauye katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Mbunge wa Kuteuliwa(CCM) Mhe.Salma Kikwete  akizungumza jambo na Mbunge wa Chalinze(CCM) Mhe.Ridhiwani Kikwete wakati wa kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.

Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages