Waziri Mwijage afafanua ziara yake ya Nchini india - Mtazamo News: Home

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

TANGAZO


Monday, September 4, 2017

Waziri Mwijage afafanua ziara yake ya Nchini india

 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya ziara yake nchini India katika mkutano wa pamoja wa kibiashara baina ya nchi hizi mbili, kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Uwekezaji Aristides Mbwasi.
Waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage (kushoto)  wakati akitoa taarifa ya ziara yake nchini India katika mkutano wa pamoja wa kibiashara baina ya nchi hizi mbili.


Picha na Eliphace Marwa - MAELEZO

TANGAZO