Watumishi TEA wasisitizwa kuzingatia maadili ya utumishi wa umma katika utendaji kazi - Mtazamo News
Tangaza Biashara yako Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Thursday, 7 September 2017

Watumishi TEA wasisitizwa kuzingatia maadili ya utumishi wa umma katika utendaji kazi

 Mhasibu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Bi. Elizabeth Urassa, akichangia mada wakati wa mafunzo kuhusu Maadili na ushughulikiaji wa malalamiko katika utumishi wa umma yaliyotolewa na Ofisi ya Rais-Utumishi kwa watumishi wa Mamlaka hiyo leo jijini Dar es Salaam.
 Afisa Utumishi Mwandamizi kutoka Idara ya Ukuzaji Maadili, Ofisi ya Rais-Utumishi, Bi. Leila Mavika akifafanua Kanuni za Maadili ya Utendaji katika Utumishi wa Umma kwa watumishi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) wakati wa mafunzo kuhusu Maadili na ushughulikiaji wa malalamiko katika utumishi wa umma yaliyotolewa na Ofisi ya Rais-Utumishi kwa watumishi wa Mamlaka hiyo leo jijini Dar es Salaam.
    Mhasibu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Bi. Magreth Semiono, akichangia mada wakati wa mafunzo kuhusu Maadili na ushughulikiaji wa malalamiko katika utumishi wa umma yaliyotolewa na Ofisi ya Rais-Utumishi kwa watumishi wa Mamlaka hiyo leo jijini Dar es Salaam.
   Afisa Utumishi Mwandamizi kutoka Idara ya Ukuzaji Maadili, Ofisi ya Rais-Utumishi, Bi. Leila Mavika akisisitiza jambo kuhusu Maadili katika Utumishi wa Umma kwa watumishi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) (hawapo pichani) wakati wa mafunzo kuhusu Maadili na ushughulikiaji wa malalamiko katika utumishi wa umma yaliyotolewa na Ofisi ya Rais-Utumishi kwa watumishi wa Mamlaka hiyo leo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages