Uholanzi yaweka matumaini kutinga fainali za kombe la dunia - Mtazamo News: Home

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

TANGAZO


Monday, September 4, 2017

Uholanzi yaweka matumaini kutinga fainali za kombe la dunia

 Davy Propper amefunga magoli mawili wakati Uholanzi ikifufua matumaini ya kufuzu kutinga fainali za Kombe la Dunia kwa ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya Bulgaria.

Kiungo huyo wa Brighton alifungua milango ya goli kwa kufunga goli la kwanza kisha mkongwe Arjen Robben kufunga la pili kwa shuti la karibu.
   Kiungo Davy Propper akishangilia goli alilofunga
Mshambuliaji mkongwe Arjen Robben akifunga goli

TANGAZO