Spika Ndugai azungumza na watumishi wa ofisi ya Bunge Mjini Dodoma - Mtazamo News: Home
advertise here +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

TANGAZO

advertise here +255755 300 337

Saturday, September 16, 2017

Spika Ndugai azungumza na watumishi wa ofisi ya Bunge Mjini Dodoma

 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kushoto) akizungumza wakati wa kikao cha pamoja na Watumishi wa Bunge kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Mjini Dodoma. kulia ni katibu wa Bunge, Dkt. Thomas kashililah, Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Bunge, Mhe. Magdalena Sakaya (wa pili kulia) na kushoto ni Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Bunge, Mhe. Mary Chatanda
Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakimsikiliza Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (hayupo kwenye picha) wakati wa kikao cha pamoja cha Watumishi wa Bunge na Tume ya Utumishi wa Bunge kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.


(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Post Bottom Ad


Pages