Spika Ndugai apokea taarifa za kamati maalum za kuchunguza biashara ya tanzanite na almasi leo mjini dodoma. - Mtazamo News
Tangaza Biashara yako Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Wednesday, 6 September 2017

Spika Ndugai apokea taarifa za kamati maalum za kuchunguza biashara ya tanzanite na almasi leo mjini dodoma.

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akimkabidhi Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa Taarifa za Kamati Maalum ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi  katika tukio lililofanyika leo katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akikabidhiwa Taarifa ya Kamati Maalum ya Kuchunguza Biashara ya Almasi na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Mussa Azzan Zungu (kulia) katika tukio lililofanyika leo katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.kushoto ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na Kulia ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Mbowe
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akikabidhiwa Taarifa ya Kamati Maalum ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Dotto Biteko (kulia) katika tukio lililofanyika leo katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. kushoto ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na Kulia ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Mbowe
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza wakati wa uwasilishaji wa Taarifa za Kamati Maalum ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi katika tukio lililofanyika leo katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
 Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati wa uwasilishaji wa Taarifa za Kamati Maalum ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi katika tukio lililofanyika leo katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
 Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya kuchunguza Almasi, Mhe. Mussa Azzan Zungu akizungumza wakati wa uwasilishaji wa Taarifa za Kamati Maalum ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi katika tukio lililofanyika leo katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
 Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya kuchunguza Tanzanite, Mhe. Dotto Biteko akizungumza wakati wa uwasilishaji wa Taarifa za Kamati Maalum ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi katika tukio lililofanyika leo katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
 Kiongozi wa Upinzani Bunge, Mhe. Freeman Mbowe akizungumza wakati wa uwasilishaji wa Taarifa za Kamati Maalum ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi katika tukio lililofanyika leo katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia waliokaa), Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa (wa pili kushoto waliokaa), Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kushoto waliokaa) na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Mbowe (kulia waliokaa) wakiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati Maalum ya Kuchunguza Biashara ya Almasi wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Mussa Azzan Zungu katika tukio lililofanyika leo katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia waliokaa), Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa (wa pili kushoto waliokaa), Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kushoto waliokaa) na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Mbowe (kulia waliokaa) wakiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati Maalum ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Dotto Biteko katika tukio lililofanyika leo katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia waliokaa),Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa (wa pili kushoto waliokaa), Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kushoto waliokaa) na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Mbowe (kulia waliokaa) wakiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupokea Taarifa ya Kamati Maalum ya Kuchunguza Biashara ya Almasi na Tanzanite katika tukio lililofanyika leo katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages