Spika Ndugai akiwa katika hafla ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu, Mhe.Prof. Ibrahim Juma - Mtazamo News
Tangaza Biashara yako Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Monday, 11 September 2017

Spika Ndugai akiwa katika hafla ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu, Mhe.Prof. Ibrahim Juma

 
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu, Mhe. Prof. Ibrahim Juma iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, kulia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John P. Magufuli, wa pili kushoto ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John P. Magufuli (katikati) akishikana mikono na viongozi wa Mihimili ya nchi katika hafla ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu iliyofanyika leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai na Kushoto ni Jaji Mkuu, Mhe. Prof. Ibrahim Juma 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John P. Magufuli (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Mihimili ya nchi baada ya kumalizika hafla ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu iliyofanyika leo Ikulu Jijini Dar es ​​Salaam. Kulia ni Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai na Kushoto ni Jaji Mkuu, Mhe. Prof. Ibrahim Juma
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John P. Magufuli (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Majaji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu iliyofanyika leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John P. Magufuli (kulia) akisalimiana na Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) katika hafla ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu iliyofanyika leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kulia nyuma ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan na katika ni Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)akiagana na Jaji Mkuu, Mhe. Prof. Ibrahim Juma baada ya kumaliza kwa hafla ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu iliyofanyika leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages