Spika Job ndugai atembelewa na balozi wa uingereza nchini leo ofisini kwake Mjini Dodoma. - Mtazamo News
Tangaza Biashara yako Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Thursday, 14 September 2017

Spika Job ndugai atembelewa na balozi wa uingereza nchini leo ofisini kwake Mjini Dodoma.

 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (katikati) na Mwakilishi Mkazi wa DFID hapa nchini, Ndg. Beth Arthy,  pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
 Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (kushoto) pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma Septemba 13, 2017
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (kushoto) pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea  Ofisini kwake Mjini Dodoma Septemba 13, 2017. katikati ni Mwakilishi Mkazi wa DFID hapa nchini, Ndg. Beth Arthy.
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati)akiwa katika picha ya pamoja na ugeni kutoka ubalozi wa Uingereza uliomtembelea  Ofisini kwake Mjini Dodoma Septemba 13, 2017. ulioongozwa na Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (watatu kulia).
 Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Ubalozi wa Uingereza ulioongozwa na  Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (katikati) ulipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akiagana na Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (kushoto) pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma. katikati ni Mwakilishi Mkazi wa DFID hapa nchini, Ndg. Beth Arthy.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages