Header Ads


Rais Magufuli Amuapisha Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma

 Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Profesa Ibrahim anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Othman Chande na kuwa jaji wa nane kushika wadhifa huo tangu tupate uhuru huku akiwa Mtanzania wa sita. Wapili kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi.
 Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma akisaini hati ya kiapo mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kushika wadhifa huo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Profesa Ibrahim anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Othman Chande na kuwa jaji wa nane kushika wadhifa huo tangu tupate uhuru huku akiwa Mtanzania wa sita. Wapili kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi hati ya kiapo Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Profesa Ibrahimu Hamisi Juma mara baada ya kumuapisha kushika wadhifa huo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Profesa Ibrahim anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Othman Chande na kuwa jaji wa nane kushika wadhifa huo tangu tupate uhuru huku akiwa Mtanzania wa sita. Wapili kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi  Mhandisi Balozi John Kijazi.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akifafanua jambo wakati wa hafla ya kumuapisha Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Profesa Ibrahimu Hamisi Juma leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Profesa Ibrahim anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Othman Chande na kuwa jaji wa nane kushika wadhifa huo tangu tupate uhuru huku akiwa Mtanzania wa sita. 
 Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Profesa Ibrahimu Hamisi Juma akizungumza jambo wakati wa hafla ya kuapishwa kwake kushika wadhifa huo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. Profesa Ibrahim anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Othman Chande na kuwa jaji wa nane kushika wadhifa huo tangu tupate uhuru huku akiwa Mtanzania wa sita. 
 Waziri wa Sheria na Katiba Prof. Palamagamba Kabudi akielezea jambo wakati wa hafla ya kumuapisha Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Profesa Ibrahimu Hamisi Juma (aliyekaa mbele) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Aliyekaa kulia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. Profesa Ibrahim anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Othman Chande na kuwa jaji wa nane kushika wadhifa huo tangu tupate uhuru huku akiwa Mtanzania wa sita. 
 Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi (kushoto) akiteta jambo na  Jaji Mkuu mstaafu Mhe. Othman Chande (kulia) pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (hayupo pichani) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya majaji waliohudhuria hafla ya kumuapisha Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Profesa Ibrahimu Hamisi Juma (hayupo pichani) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Profesa Ibrahim anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Othman Chande na kuwa jaji wa nane kushika wadhifa huo tangu tupate uhuru huku akiwa Mtanzania wa sita. 
 Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali akifuatilia kwa makini hafla ya hafla ya kumuapisha Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Profesa Ibrahimu Hamisi Juma (hayupo pichani) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Profesa Ibrahim anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Othman Chande na kuwa jaji wa nane kushika wadhifa huo tangu tupate uhuru huku akiwa Mtanzania wa sita. 
Jaji Kiongozi Mhe. Ferdinand Wambali akiteta jambo na  Jaji Mkuu mstaafu Mhe. Othman Chande (kulia) wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (hayupo pichani) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.


Picha na: Idara ya Habari - MAELEZO
Post a Comment
Powered by Blogger.