Header Ads


Naibu Waziri Tamisemi Mhe.Jafo afunguo mafunzo ya uongozi kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi Mjini Dodoma

 Naibu Waziri-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akizungumza na Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Manispaa,Majiji na Halmshauri  wakati akifungua mafunzo ya siku tano yanayoendeshwa  na Taasisi ya Uongozi leo Mjini Dodoma.
 Mtendaji MKuu wa Uongozi Institute Prof Joseph Semboja akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Uongozi  kwa wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Manispaa,majiji na Halmshauri leo Mjini Dodoma
 Naibu Waziri-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akizungumza jambo na Naibu Katibu Mkuu-TAMISEMI Mhe.Dkt Zainabu Chaula wakati wa mafunzo ya Uongozi  kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Manispaa,Majiji na Halmshauri yanayofanyika Mjini Dodoma na kuendeshwa na Taasisi ya Uongozi.
 Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Josephine Matiro na Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe.Richard Kasesela wakimsikiliza Naibu Waziri-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo (hayupo pichani) wakati akifungua  mafunzo ya siku tano kwa wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Manispaa,Majiji na Halmshauri  leo Mjini Dodoma.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Manispaa,Majiji na Halmshauri wanaohudhuria mafunzo ya Uongozi yanayoendeshwa na Taasisi ya Uongozi wakisikiliza  mada  mbalimbali katika mafunzo hayo leo Mjini Dodoma.

Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.
Post a Comment
Powered by Blogger.