Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri katika kutatua kero za wananchi Sikonge - Mtazamo News
Tangaza Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Thursday, 7 September 2017

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri katika kutatua kero za wananchi Sikonge

 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (katikati) akitoa maelekezo  kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge juu ya utatuzi wa kero na hoja mbalimbali ambazo wananchi wameziwasilisha kwake jana wakati wa mkutano na wanachi. Wengine  ni Mkuu wa Wilaya ya Sikonge Peres Magiri(kushoto) na Katibu Tawala Wilaya hiyo Renatus Mahimbali(kulia)
 Baadhi ya wakazi wa Wilaya ya Sikonge waliofika kuwasilisha kero zao wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri wakati akitoa maelekezo mbalimbali kwa wananchi hao na watendaji wa Wilaya hiyo . Zoezi hilo lilifanyika jana mjini Sikonge na wananchi 150.
 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akihakiki upana wa barabara inayojengwa kwa kiwango cha lami mjini Sikonge wakati wa ziara yake ya kikazi ya siku mbili wilayani humo kwa ajili ya kusikiliza kero mbalimbali za wananchi.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akitoa maelekezo jana mjini Sikonge kwa msimamizi wa barabara yenye urefu wa kilometa moja inayojengwa kwa kiwango cha lami katika eneo la Sikonge mjini kabla ya kutoa uamuzi wa kusitisha malipo kwa sababu kuonekana kujengwa chini ya kiwango.

Picha na Tiganya Vincent-RS Tabora

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages