Majaliwa azungumza na Wakuu wa Mikoa inayolima pamba - Mtazamo News: Home

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

TANGAZO


Saturday, September 9, 2017

Majaliwa azungumza na Wakuu wa Mikoa inayolima pamba

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa  inayolima zao la pamba nchini kwenye makazi yake mjini Dodoma Septemba 9, 2017. Kulia kwake ni Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba, watatu kulia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo na wanne kulia ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Maimuna Tarishi. 

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

TANGAZO