Lil Wayne augua ugonjwa wa kupoteza fahamu - Mtazamo News
Tangaza Biashara yako Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Tuesday, 5 September 2017

Lil Wayne augua ugonjwa wa kupoteza fahamu

 Rapa Lil Wayne amekimbizwa hospitali jana baada ya kuugua tatizo la kupoteza fahamu ambapo alikutwa akiwa hajitambui katika chumba cha hoteli Jijini Chicago.

Lil Wayne, 34, ambaye amefanikiwa kuwa moja ya majina makubwa katika muziki wa rap duniani kwa miongo miwili, pia alipoteza tena fahamu akiwa hospitali kwa mujibu wa TMZ.

Mwakilishi wa Lil Wayne amethibitisha katika tovuti ya za mastaa kwamba rapa huyo amekuwa akipatwa na hali hiyo ya kupoteza fahamu mara kwa mara.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages