Karibu kwenye mkutano mkubwa wa injili Jijini Mwanza - Mtazamo News
Tangaza Biashara yako Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Tuesday, 12 September 2017

Karibu kwenye mkutano mkubwa wa injili Jijini Mwanza

Kanisa la kimataifa la EAGT Lumala Mpya lililopo nyuma ya Soko Kuu la Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza, linawakawaribisha watu wote kwenye mkutano mkubwa wa injili utakaofanyika kwenye uwanja wa Sabasaba Ilemela.
Mchungaji Kiongozi Dkt.Daniel Moses Kulola pamoja na Mwinjilisti Roggers Mathias kutoka Marekani watahudumu kwenye mkutano huo huku waimbaji mbalimbali kama vile Havillah Gospel Singers, Ambwene Mwasongwe na Sam D wakitumbuiza pia.
Na Binagi Media Group

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages