Duka la Kwanza la TECNO SMART HUB Lazinduliwa Jijini Dar es Salaam - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka
Advertise Here +255755 300 337

HEADLINES

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Sunday, 17 September 2017

Duka la Kwanza la TECNO SMART HUB Lazinduliwa Jijini Dar es Salaam

 Katika duka letu la “TECNO SMART HUB” ni duka la suluhisho zote za simu za simu janja,vifaa vya simu na huduma mbalimbali za kidigitali.

Pengine,cha kusisimua zaidi ya yote, hili duka halitouza au kuonyesha bidhaa tu bali wateja watapata fursa ya kufahamu kwa undani bidhaa na huduma zipatakinazo kwenye duka hilo.

Wakati wa Uzinduzi wateja walipata nafasi ya kushinda zawadi kama TV ya inchi 32, Feni nakadhalika, pia walipata burudani kutoka kwa crew ya dwachezaji.

TECNO, kama kiongozi wa simu za mkononi, hutoa simu bora za mkononi na huduma bora kwa watumiaji wa Tanzania, na katika TECNO SMART HUB, unaweza kufurahia bora kwa maisha yako mwenyewe ya simu ya mkononi.

Jengo la China Plaza lililopo Kariakoo Jijini Dar es salaam, ni moja ya jengo linapo patikana  duka jipya la Tecno, SMart Hub. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages