Breaking News: Tundu Lissu Apigwa Risasi Akiwa Dodoma - Mtazamo News: Home

HABARI ZA HIVI PUNDE

advertise here +255755 300 337

Post Top Ad


Thursday, September 7, 2017

Breaking News: Tundu Lissu Apigwa Risasi Akiwa Dodoma

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antipas Lissu amekimbizwa hospitali mchana huu  baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana leo mchaa akiwa nyumbani kwake Mkoani Dodoma.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano, Uenezi na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amesema kuwa Mh. Lissu amepigwa risasi zaidi ya mbili alipokuwa ametoka bungeni na kwenda nyumbani kwakwe kwa ajili ya chakula cha mchana.

Kwa mujibu wa taarifa zilizopo ni kwamba amekimbizwa hospitali na sasa yupo chumba cha upasuaji.

No comments:

Post Top Ad

advertise here +255755 300 337