Benki ya Maendeleo ya Kilimo yatimiza miaka miwili ya kutoa huduma kwa wakulima - Mtazamo News
Tangaza Biashara yako Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Monday, 11 September 2017

Benki ya Maendeleo ya Kilimo yatimiza miaka miwili ya kutoa huduma kwa wakulima

 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Francis Assenga (wapili kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Mikopo na Biashara wa Benki, Bw. Augustino Matutu Chacha (wapili kushoto) wakati wa Mkutano wao na Wanahabari katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo. Kushoto ni  Afisa habari Mwandamizi wa Idara ya Habari, Bw. Jonas Kamaleki na kulia ni Meneja wa Maendeleo ya Wakulima Wadogo wa TADB, Bw. Joseph Mabula.
 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Francis Assenga (katikati) akisisitiza jambo wakati akiongea na wanahabari kuhusu kutimiza miaka miwili ya kutoa huduma kwa wakulima wa Tanzania na mkakati wa TADB wa kujitanua kupitia kongani. Wengine pichani niMkurugenzi wa Mikopo na Biashara wa Benki, Bw. Augustino Matutu Chacha (kushoto) na Meneja wa Maendeleo ya Wakulima Wadogo wa TADB, Bw. Joseph Mabula (kulia).
 Mkurugenzi wa Mikopo na Biashara wa Benki, Bw. Augustino Matutu Chacha (kushoto) akizungumzia mafanikio ya Benki hiyo katika kukopesha wakulima wadogo nchini. Wanaomsikiliza ni  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Francis Assenga (katikati) na Meneja wa Maendeleo ya Wakulima Wadogo wa TADB, Bw. Joseph Mabula (kulia).
 Meneja wa Maendeleo ya Wakulima Wadogo wa TADB, Bw. Joseph Mabula (kulia)akizungumzia nafasi ya Benki hiyo katika kuwawezesha wakulima wadogo kulima kibiashara. Wanaomsikiliza ni  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Francis Assenga (katikati) na Mkurugenzi wa Mikopo na Biashara wa Benki, Bw. Augustino Matutu Chacha (wapili kushoto) kwa mbali kushoto ni Afisa habari Mwandamizi wa Idara ya Habari, Bw. Jonas Kamaleki.
 Mmoja wa wanahabari waliohudhuria Mkutano kuhusu kutimiza miaka miwili ya kutoa huduma kwa wakulima wa Tanzania na mkakati wa TADB wa kujitanua kupitia kongani akiuliza swali.
Wanahabari wakifuatilia kwa makini Mkutano kuhusu kutimiza miaka miwili ya kutoa huduma kwa wakulima wa Tanzania na mkakati wa TADB wa kujitanua kupitia kongani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages