Arsene Wenger asema Kylian Mappe ni pele mpya - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka

Habari za Hivi Punde

Tangaza Hapa +255755300337

Post Top Ad

Post Top Ad


Monday, 11 September 2017

Arsene Wenger asema Kylian Mappe ni pele mpya

  Kylian Mbappe akipongezwa na Neymar baada ya kufunga goli lake la kwanza akiwa na PSG.
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger, amemuelezea kinda machachari wa Paris Saint-Germain Kylian Mbappe kama Pele mpya.

Akiongea na beIN SPORTS, kocha Wenger amedai kuwa Mbappe mwenye miaka 18 anaweza kuja kuwa mchezaji bora duniani.

Mbappe aliyejiunga na PSG kwa mkopo akitokea Monaco alifunga goli lake la kwanza Ijumaa, ambapo anatarajiwa kukamilisha uhamisho wake wa dau la paundi milioni 166 katika usajili wa majira ya joto.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Tangaza Hapa +255755300337