Wadaiwa Sugu wa Ankara za Maji Wakatiwe Huduma. - Mtazamo News: Home

HABARI ZA HIVI PUNDE

advertise here +255755 300 337

Post Top Ad


Tuesday, August 15, 2017

Wadaiwa Sugu wa Ankara za Maji Wakatiwe Huduma.

Mkuu wa mkoa wa RUVUMA DK BILINITH MAHENGE amemwagiza DK ANSEL MTALIMO kuhakikisha manipsaa ya SONGEA inakatiwa maji kutokana na deni wanalodaiwa na mamlaka ya maji safi na taka SOWASA kutokana na wao kuwa vinara wakutolipa akara za maji kwa muda mrefu.

No comments:

Post Top Ad

advertise here +255755 300 337