Video: Tazama Maandalizi ya Ikungi Elimu Cup 2017 Singida. - Mtazamo News: Home
advertise here +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

TANGAZO

advertise here +255755 300 337

Friday, August 18, 2017

Video: Tazama Maandalizi ya Ikungi Elimu Cup 2017 Singida.

Uzinduzi wa ligi ya soka ya "Ikungi Elimu Cup 2017" unatarajia kufanyika kesho jumamosi Agosti 19,2017 katika wilaya ya Ikungi mkoani Singida. 

Fuatilia maandalizi ya ligi hiyo yenye lengo la kuhamasisha wananchi na wadau mbalimbali kushiriki kutatua changamoto za elimu na kuongeza ufaulu wilayani Ikungi.

Post Bottom Ad


Pages