Rais Mhe. Dkt. Magufuli aongoza kikao cha baraza la mawaziri ikulu jijini Dar es salaam - Mtazamo News: Home
advertise here +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

TANGAZO

advertise here +255755 300 337

Tuesday, August 29, 2017

Rais Mhe. Dkt. Magufuli aongoza kikao cha baraza la mawaziri ikulu jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 29, 2017. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na  Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi. 
PICHA NA IKULU

Post Bottom Ad


Pages