Header Ads


Mhe. Kairuki Afanya Mazungumzo ya Kikazi na Balozi wa Japan Nchini Tanzania

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania (kushoto), Bw. Masaharu Yoshida alipofanya ziara ya kikazi ofisini kwake. 
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania (kulia), Bw. Masaharu Yoshida alipofanya ziara ya kikazi ofisini kwake.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akimsikiliza Balozi wa Japan nchini Tanzania (kushoto), Bw. Masaharu Yoshida alipofanya ziara ya kikazi ofisini kwake. 
Post a Comment
Powered by Blogger.