Mhe. Kairuki Aagana na Balozi wa China Nchini Tanzania Aliyemaliza Muda Wake - Mtazamo News: Home

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

TANGAZO


Friday, August 25, 2017

Mhe. Kairuki Aagana na Balozi wa China Nchini Tanzania Aliyemaliza Muda Wake

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akikabidhi zawadi kwa Balozi wa China nchini Tanzania aliyemaliza muda wake Dr.Lu Youqing, aliyefika ofisini kwake jijini Dar es Salaam kumuaga.
 Balozi wa China nchini Tanzania aliyemaliza muda wake, Dr.Lu Youqing (kulia), akimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) alipokwenda kumuaga ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Wengine ni watumishi walioambatana na Balozi.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na Balozi wa China nchini Tanzania aliyemaliza muda wake Dr.Lu Youqing (katikati), aliyefika ofisini kwake jijini Dar es Salaam kumuaga.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akimsikiliza Balozi wa China nchini Tanzania aliyemaliza muda wake, Dr.Lu Youqing (katikati), aliyefika ofisini kwake jijini Dar es Salaam kumuaga.

TANGAZO