Katibu Mkuu Wizara ya Afya Sihaba Nkinga Akutana na Baraza la Watoto Kata ya Mseke Mkoani Iringa. - Mtazamo News: Home
advertise here +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

TANGAZO

advertise here +255755 300 337

Friday, August 18, 2017

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Sihaba Nkinga Akutana na Baraza la Watoto Kata ya Mseke Mkoani Iringa.

  Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga akizungumza na  Baraza la Watoto la Kata ya Mseke na Kikundi cha Malezi na Uhamasishaji wa Ulinzi na Usalama wa Mtoto Mkoani Iringa  wakati alipofanya ziara Mkoani hapo kuangalia utekelezaji wa Sera ya Maendeleo ya Jamii.
 Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa Bibi Waumoja Ayoub akisisitiza jambo kwa  Baraza la Watoto la Kata ya Mseke na Kikundi cha Malezi na Uhamasishaji wa Ulinzi na Usalama wa Mtoto Mkoani Iringa  wakati Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga alipofanya ziara Mkoani hapo kuangalia utekelezaji wa Sera ya Maendeleo ya Jamii.
 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Iringa Bw.Robert Masunya akitoa maelezo kwa  Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga alipofanya ziara na kuzungumza na Baraza la Watoto la Kata ya Mseke na Kikundi cha Malezi na Uhamasishaji wa Ulinzi na Usalama wa Mtoto Mkoani Iringa.
 Mjumbe wa Baraza la Watoto la Kata ya Mseke Theresia Msemwa(kushoto) akisoma risala kwa niaba ya Baraza la watoto la kata ya Mseke kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga alipofanya ziara na kuzungumza na Baraza la Watoto la Kata ya Mseke na Kikundi cha Malezi na Uhamasishaji wa Ulinzi na Usalama wa Mtoto Mkoani Iringa.
Wajumbe wa Baraza la Watoto la Kata ya Mseke Mkoani Iringa wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga(hayupo pichani) wakati Katibu Mkuu huyo alipofanya ziara Mkoani hapo kuzungumza na Baraza la Watoto la Kata ya Mseke na Kikundi cha Malezi na Uhamasishaji wa Ulinzi na Usalama wa Mtoto.
Kikundi cha Sanaa cha Baraza la Watoto la Kata ya Mseke Mkoani Iringa wakicheza ngoma maalum wakati Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga(hayupo pichani) wakati Katibu Mkuu huyo alipofanya ziara Mkoani hapo kuzungumza na Baraza la Watoto la Kata ya Mseke na Kikundi cha Malezi na Uhamasishaji wa Ulinzi na Usalama wa Mtoto.
 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga akitoa mchango wake kuwezesha Mfuko wa Baraza la watoto la Kata ya Mseke Mkoa ni Iringa.
 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga(kulia) akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Baraza la Watoto la Taifa Lulu Nziku mara baada ya kumaliza kikao na Baraza la Watoto la Kata ya Mseke na Kikundi cha Malezi na Uhamasishaji wa Ulinzi na Usalama wa mtoto Mkoani Iringa.
 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga(kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Baraza la Watoto la Kata ya Mseke Mkoani Iringa.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga(kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Kikundi cha Malezi na Uhamasishaji wa Ulinzi na Usalama wa Mtoto Mkoani Iringa.

 Picha na Erasto Ching’oro WAMJW

Post Bottom Ad


Pages