JK na Mama Salma Kikwete wakamilisha msimu wa mavuno kijijini Msoga, wasema Umekuwa msimu mzuri. - Mtazamo News: Home

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

TANGAZO


Tuesday, August 22, 2017

JK na Mama Salma Kikwete wakamilisha msimu wa mavuno kijijini Msoga, wasema Umekuwa msimu mzuri.

  Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakivuna mahindi shambani kwao kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani kukamilisha msimu wa mavuno ambao amesema umekuwa mzuri mwaka huu
 Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakifurahia mavuno mema ya  mahindi shambani kwao kijijini Msoga.
  Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiendelea kuvuna mahindi shambani kwao kijijini Msoga
  Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiendelea na kazi ya kuvuna

TANGAZO