Dkt Mwaijage aelezea mikakati serikali ya Tanzania ya viwanda - Mtazamo News: Home

HABARI ZA HIVI PUNDE

advertise here +255755 300 337

Post Top Ad


Tuesday, August 22, 2017

Dkt Mwaijage aelezea mikakati serikali ya Tanzania ya viwanda

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt. Charles Mwijage (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akielezea jambo kuhusu mikakati wa Serikali ya Tanzania ya viwanda na mpango kazi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika-SADC mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kikanda wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika-SADC Bi. Sekela Mwaisela.

Picha na Eliphace Marwa - Maelezo

No comments:

Post Top Ad

advertise here +255755 300 337