YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 57 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA - Mtazamo News
Tangaza Biashara yako Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Tuesday, 4 July 2017

YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 57 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA

 Naibu Spika  wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson  akiongoza    kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Prof Palamagamba Kabudi akisoma maelezo kuhusu muswada wa Sheria ya Mamlaka ya Nchi kuhusiana na umiliki wa maliasili wa mwaka 2017   katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa hamsini na nane wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11  Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
 Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Dk Medard Kalemani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
 Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge   katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Ramo Makani  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge    katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
 Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashatu Kijaji  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge  katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11  Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kuchaguliwa Mhe.Salma Kikwete  katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11  Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akiteta jambo na Mbunge wa Vunjo Mhe.Eng James Mbatia  katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11  Mjini Dodoma Julai 3,2017.


Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages