Waziri wa usalama Kenya Joseph Nkaissery afariki dunia - Mtazamo News: Home

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

TANGAZO


Saturday, July 8, 2017

Waziri wa usalama Kenya Joseph Nkaissery afariki dunia

Waziri wa usalama nchini Kenya Jenerali Mstaafu Joseph Nkaissery amefariki dunia.
Waziri huyo amefariki dunia saa chache baada yake kulazwa katika hospitali ya kibinafsi ya Karen kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu.
Taarifa za kifo chake zimetangazwa na mkuu wa utumishi wa umma Bw Joseph Kinyua mwendo wa saa kumi na moja alfajiri.
Kwa hisani ya bbc.

TANGAZO