“ TUNDURU MPYA INAKUJA,TUPIGE KAZI KWA KUSHIRIKIANA ,HAKUNA KITAKACHOSHINDIKANA” DC TUNDURU - Mtazamo News
Tangaza Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Wednesday, 5 July 2017

“ TUNDURU MPYA INAKUJA,TUPIGE KAZI KWA KUSHIRIKIANA ,HAKUNA KITAKACHOSHINDIKANA” DC TUNDURU

Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Juma Homera
Wilaya ya Tunduru ni moja kati ya Wilaya tano za Mkoa wa Ruvuma, Ni wilaya iliyokuwa nyuma kimaendelea kuanzia miundo mbalimbali japo ni wilaya iliyojaa utajili wa madini. Mkuu wa wilaya hiyo Juma Homera anakuja na na mkakati wa Tunduru Mpya , fuatilia ujue ni upya gani anakuja nao ambao utaiweka tunduru kuwa ya kisasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages