SPIKA NDUGAI APATA UGENI KUTOKA CRDB BENKI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA. - Mtazamo News: Home

HABARI ZA HIVI PUNDE

advertise here +255755 300 337

Post Top Ad


Tuesday, July 4, 2017

SPIKA NDUGAI APATA UGENI KUTOKA CRDB BENKI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza wakati alipotembelewa na ugeni kutoka CRDB Benki Tawi la Dodoma, Katikati ni Meneja wa CRDB Benki Tawi la Dodoma Ndg. Rehema Hamisi na kulia ni Meneja Biashara Ndg. Danny Shemdoe, katika kikao kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini Dodoma.


(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post Top Ad

advertise here +255755 300 337