Spika Ndugai Akutana na Kuzungumza na Balozi wa Iran Ofisini kwake Mjini Dodoma. - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka
Advertise Here +255755 300 337

HEADLINES

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Tuesday, 18 July 2017

Spika Ndugai Akutana na Kuzungumza na Balozi wa Iran Ofisini kwake Mjini Dodoma.

 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akisalimiana na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (kulia), alipomtembelea jana Ofisini kwake Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akipokea ujumbe Maalum kutoka kwa Spika wa Bunge la Iran, uliowasilishwa leo na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (kulia), katika tukio lililofanyika jana Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akizungumza na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (katikati), katika kikao kilichofanyika jana Ofisini kwake Mjini Dodoma. kulia ni Msaidizi wa Balozi wa Iran Ndg. Zuhura Ally
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages