RC MAKALA AWATAKA WANAUSHIRIKA KUWA SEHEMU YA UCHUMI WA VIWANDA - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka

Habari za Hivi Punde

Tangaza Hapa +255755300337

Post Top Ad

Post Top Ad


Wednesday, 5 July 2017

RC MAKALA AWATAKA WANAUSHIRIKA KUWA SEHEMU YA UCHUMI WA VIWANDA

 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Amos Makalla amesema ushirika wowote lazima ushiriki katika sera ya uchumi wa viwanda iwe kwa uzalishaji malighafi ktk kilimo au ufugaji, kuongeza thamani YA mazao
Serikali YA mkoa inafanya kila jitihada kuwa na ushirika wenye nguvu ktk mazao na Vyama vya akiba
Chanzo cha kufa kwa ushirika ni ubadhirifu hivyo amewataka viongozi kuwa waadilifu na kuhakikisha hesabu za vyama vya ushirika zinakaguliwa kwa mujibu wa sheria
Amewataka  wakuu wa wilaya, wakurugenzi , warajisi wa ushirika na maafisa ushirika  kuwa karibu na vyama vya ushirika kutatua changamoto zao
 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Amos Makalla akizungumza.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Tangaza Hapa +255755300337