RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI MAONYESHO YA 41 YA SABASABA JIJINI DAR LEO - Mtazamo News: Home
advertise here +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

TANGAZO

advertise here +255755 300 337

Saturday, July 1, 2017

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI MAONYESHO YA 41 YA SABASABA JIJINI DAR LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wakati akitembelea mabanda mbalimbali baada ya kufungua rasmi maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam leo. Rais Magufuli ameyafungua rasmi Maonyesho hayo, yaliyoanza Juni 28 - Julai 8, 2017, ambapo kwa ushauri wake, Maonyesho haya kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017. 
 Picha na Ikulu.

Post Bottom Ad


Pages