VIDEO:TAMASHA LA MAJIMAJI SEREBUKA KUTIMU VUMBI JULAI 22 HADI 30 - Mtazamo News: Home

HABARI ZA HIVI PUNDE

advertise here +255755 300 337

Post Top Ad


Sunday, July 2, 2017

VIDEO:TAMASHA LA MAJIMAJI SEREBUKA KUTIMU VUMBI JULAI 22 HADI 30

Msimu wa tatu wa tamasha la MAJIMAJI SEREBUKA linaloandaliwa na taasisi isiyo ya kiserikali Songea Mississipi, linatarajia kuanza julai 22 mwaka huu,Huku mishezo mbalimbali itahusishwa ikiwemo riadha,ngoma za asili,maonyesho ya kiabiahara na mdahalo,na nini hasa lengo la tamasha hilo huyu hapa mwenyekiti wa tamasha DAMASI NDUMBARO anabainisha. HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE

No comments:

Post Top Ad

advertise here +255755 300 337