Msiba Wa Mtanzania Prof Henslay Kabisama Nchini Marekani - Mtazamo News
Tangaza Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Thursday, 13 July 2017

Msiba Wa Mtanzania Prof Henslay Kabisama Nchini Marekani

WaTanzania nchini Marekani wanaomboleza msiba wa Profesa Henslay Kabisama aliyefariki huko California mwishoni mwa mwezi June
Mjane wa Marehemu pamoja na wadau kadhaa waliungana na Mubelwa Bandio katika kipindi cha NJE-NDANI kuongelea mipango ya mazishi ilipofikia sasa.
Unaweza kushiriki kusaidia gharama za kuusafirisha mwili kupitia akaunti HII ya GoFundME
Karibu uwasikilize

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages