Mhe. Samia Suluhu Hassan Alipomjulia hali Mtoto wa Rais Mstaafu Khalfan Kikwete - Mtazamo News: Home
advertise here +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

TANGAZO


Saturday, July 15, 2017

Mhe. Samia Suluhu Hassan Alipomjulia hali Mtoto wa Rais Mstaafu Khalfan Kikwete

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  amemjulia hali mtoto wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Khalfan Kikwete ambaye amelazwa katika wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.
 ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages