Meya wa Dar es Salaam amtembelea Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki Kardinal Pengo - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka
Advertise Here +255755 300 337

HEADLINES

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Monday, 10 July 2017

Meya wa Dar es Salaam amtembelea Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki Kardinal Pengo

MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita amtembelea Askofu wa Jimbo kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinal Pengo Ofisini kwake leo ,Kanisa la Mtakatifu Joseph  jijini leo.baada ya kutoka nje kwa matibabu. 
 Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akisalimiana na Askofu Mkuu wa jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinal Pengo alipomtembelea ofisini kwake mapema leo.
 Askofu Mkuu wa jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinal Pengo akizungumza na Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita kuhusu hali ya afya yake alipomtembelea leo Ofisini kwake ,kanisa la Mtakatifu. Joseph.
 Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akipata Baraka kutoka kwa Askofu Mkuu wa jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinal Pengo alipomtembelea ofisini kwake leo, katika kanisa la Mtakatifu Joseph leo alipomtembelea kumjilia hali yake.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages