Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Watoa Semina kwa Waandishi wa Habari juu ya Majukumu ya Mamlaka na Matokeo ya Ukaguzi wa Kimatifa Waliofanyiwa na Shirika la Usafiri Duniani (ICAO). - Mtazamo News: Home
advertise here +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

TANGAZO


Sunday, July 16, 2017

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Watoa Semina kwa Waandishi wa Habari juu ya Majukumu ya Mamlaka na Matokeo ya Ukaguzi wa Kimatifa Waliofanyiwa na Shirika la Usafiri Duniani (ICAO).

Mwanasheria Mwandamizi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Maria Makalla  (kushoto) akiwasilisha mada kwa waandishi wa habari  toka vyombo mbalimbali nchini, juu ya majukumu ya Mamlaka hiyo, pamoja na matokeo ya ukaguzi wa  Kimataifa walivyokaguliwa  na Shirika la Usafiri wa Anga Duniani (ICAO) wakati wa semina iliyofayika  mkoani Morogoro .
 Meneja Mawasiliana na Uhusiano wa  Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania Tanzania  (TCAA) Bestina Magutu  (kulia) akifafanua jambo  kwa  waandishi wa habari  toka vyombo mbalimbali nchini, juu ya majukumu ya Mamlaka hiyo, pamoja na matokeo ya ukaguzi wa  Kimataifa walivyokaguliwa  na Shirika la Usafiri wa Anga Duniani (ICAO) wakati wa semina iliyofayika  mkoani Morogoro .
  Baadhi ya  waandishi wa habari  toka vyombo mbalimbali nchini, wakifuatilia mada wakati wa semina iliyoandaliwa kwa ajili yao na Mamlaka ya Usafiri wa AngaTanzania  (TCAA)  iliyo husu  majukumu ya Mamlaka hiyo, pamoja na matokeo ya ukaguzi wa  Kimataifa walivyokaguliwa  na Shirika la Usafiri wa Anga Duniani (ICAO)  semina  hiyo iliyofayika  mkoani Morogoro .
 Mwanasheria Mwandamizi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Maria Makalla  (kushoto) akijibu swali  kwa  waandishi wa habari  toka vyombo mbalimbali nchini, mara baada ya kuwasilisha mada ya  juu ya majukumu ya Mamlaka hiyo, pamoja na matokeo ya ukaguzi wa  Kimataifa walivyokaguliwa  na Shirika la Usafiri wa Anga Duniani (ICAO) wakati wa semina iliyofayika  mkoani Morogoro 
Baadhi ya waandishi wa habari  toka vyombo mbalimbali waliohudhuria semina   ya majukumu ya  TCAA  pamoja na matokeo ya ukaguzi wa  Kimataifa walivyokaguliwa  na Shirika la Usafiri wa Anga Duniani (ICAO) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa seimna hiyo  iliyofayika  mkoani Morogoro kwa kuandakiwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages