KARIBU BANDA LA WAKALA WA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI SABA SABA – JAKAYA KIKWETE TENT. - Mtazamo News
Tangaza Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Tuesday, 4 July 2017

KARIBU BANDA LA WAKALA WA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI SABA SABA – JAKAYA KIKWETE TENT.


Kaimu Meneja wa Masoko na Huduma kwa Wateja, Bw. Cletus Mnzava (wa pili kulia) akimfahamisha mwananchi aliyetembelea Banda la Wakala shughuli mbalimbali zinazofanywa na kuratibiwa na Maabara zilizoko chini ya Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali. Kushoto ni Mtumishi wa Wakala, Bw. Sabas Mandari, akisikiliza.

 Kaimu Meneja wa Maabara ya Kanda ya Mashariki, Bi. Everlight Matinga (wa pili kulia) akimfahamisha mwananchi aliyetembelea Banda la Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali huduma zinazotolewa na Maabara za Wakala kuanzia Makao Makuu na Kanda zake Sita zilizoko kwenye Mikoa ya Mwanza, Arusha, Mbeya, Dar es Salaam, Mtwara na Dodoma.
Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele (kulia) akimsikiliza Afisa wa Polisi aliyetembelea Banda la Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kuweza kufahamu huduma mbalimbali zinazotolewa na Maabara zilizopo chini ya Ofisi yake kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara (Saba Saba) yanayoendelea kwenye Viwanja vya Saba Saba, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages