YALIYOJIRI KWENYE MAZISHI YA ALLY YANGA MKOANI SHINYANGA - Mtazamo News: Home

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

TANGAZO


Thursday, June 22, 2017

YALIYOJIRI KWENYE MAZISHI YA ALLY YANGA MKOANI SHINYANGA

 Aliyekuwa shabiki maarufu wa Yanga, Ally Said amezikwa leo kwao mjini Shinyanga.
Shabiki huyo alikuwa maarufu kwa kujipaka masizi na kuweka kitambi cha bandia pale alipokuwa uwanjani akiishangilia Yanga na wakati mwingine timu za taifa.
Ally maarufu kama Ally Yanga alifariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea Mpwapwa, Dodoma, juzi.
TANGAZO