Habari za sasa hivi

WIZARA YA ARDHI WAFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA TATHMINI YA ULIPAJI WA KODI YA PANGO LA ARDHI NA MALIPO YAKE KWA MFUMO MPYA WA KIELEKTRONIKI

 Afisa Ardhi Mwandamizi kutoka Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo Bi.Jane Kapongo akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) juu ya Hati za Kimila kutumika kama dhamana katika Taasisi za Kifedha Nchini leo Mjini Dodoma.
 Kamishna Msaidizi wa Ardhi Kanda ya Kati Bw,Hezekiely Kitilya  akisisitiz ajambo kwa waandishi wa juu ya tathmini ya ulipaji kodi ya pango la ardhi na Malipo yake yanavyoweza kufanyika kwa mfumo mpya wa kielektroniki leo mjini Dodoma.
Picha na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.
 Kamishna Msaidizi wa Ardhi Kanda ya Kati Bw,Hezekiely Kitilya  akiwa katika mkutano na waandishi wa habari akizungumzia tathmini ya ulipaji kodi ya pango la ardhi na Malipo yake yanavyoweza kufanyika kwa mfumo mpya wa kielektroniki leo mjini Dodoma.