WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, PROF.JUMANNE MAGHEMBE AWATEMBELEA JAMII YA WAHADZABE WILAYANI MBULU MKOANI MANYARA - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka
Advertise Here +255755 300 337

HEADLINES

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Sunday, 11 June 2017

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, PROF.JUMANNE MAGHEMBE AWATEMBELEA JAMII YA WAHADZABE WILAYANI MBULU MKOANI MANYARA

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akishuhudia jamii ya Wahadzabe wakitengeneza chakula cha mchana ambao ni unga utokanao na ubuyu. Kabila la Wahadzabe ni moja ya jamii za wawindaji na wakusanyaji wanaopatikana Tanzania ambao chakula chao kikuu ni nyama, matunda, mizizi na asali.
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akionja unga wa ubuyu ambao ndiyo chakula maarufu cha jamii ya Wahadzabe.
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akipewa maelezo kuhusu nyumba maarufu za jamii ya  Wahadzabe 
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akipewa maelezo ya matumizi ya mshale katika jamii ya Wahadzabe
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akichezewa ngoma maarufu ya jamii ya Wahadzabe ambayo huchezwa wakati wakimpokea Mgeni mwenye hadhi katika jamii.
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akisaini kitabu cha Wageni mara alipowasilia  katika kijiji cha Yaeda chini wilayani Mbulu mkoani Manyara.
Mkurugenzi wa Rasilimali Misitu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)Bw. Zawadi Mbwambo (katikati) akisikiliza kwa makini risala iliyosomwa na Wawakilishi wa Jamii ya Wahadzabe kwa Mgeni rasmi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages