WAZIRI WA HABARI AKUTANA NA WASANII WA FILAMU NA WAANDISHI WA HABARI WA AFM DODOMA LEO TAR 21 JUNI 2017 - Mtazamo News: Home

HABARI ZA HIVI PUNDE

advertise here +255755 300 337

Post Top Ad


Wednesday, June 21, 2017

WAZIRI WA HABARI AKUTANA NA WASANII WA FILAMU NA WAANDISHI WA HABARI WA AFM DODOMA LEO TAR 21 JUNI 2017

 Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe Dkt. Harrison Mwakyembe na Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura wakiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa Filamu, Ndg Nice Mtunze na Bi Lydia Mgaya walipowatembelea Bungeni leo Tarehe 21 Juni 2017.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe Dkt. Harrison Mwakyembe na Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura wakiwa katika picha ya pamoja waandishi wa habari wa A Fm Radio walipomtembelea Bungeni leo Tar 21 Juni 2017.

No comments:

Post Top Ad

advertise here +255755 300 337