WAZIRI UMMY MWALIMU AGAWA VIUADUDU VYA KUTOKOMEZA MBU WA MALARIA. - Mtazamo News: Home
advertise here +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

TANGAZO


Tuesday, June 27, 2017

WAZIRI UMMY MWALIMU AGAWA VIUADUDU VYA KUTOKOMEZA MBU WA MALARIA.

Waziri Ummy Mwalimu Leo amegawa Viuadudu  vya kutokomeza Mbu wa Malaria kwa Halmashauri kumi na moja(11) Mjini Kibaha.

 Picha mbalimbali za ugawaji wa Viuadudu kwa Halmashauri zilizofika kiwandani hapo kuchukua mgao wao ambapo Mhe.Rais Dkt.John Pombe Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 22 mwezi huu alilipia Lita  laki moja na kuagiza zitawanywe kwenye Halmashauri zote nchini
Wawakilishi wa Halmashauri kumi na moja nchini wakisikiliza maelekezo ya ugawaji wa Viuadudu hivyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages