WAZIRI MWAKYEMBE AMKABIDHI KAMUSI KUU YA KISWAHILI WAZIRI SIMBACHAWENE MJINI DODOMA - Mtazamo News: Home

HABARI ZA HIVI PUNDE

advertise here +255755 300 337

Post Top Ad


Saturday, June 24, 2017

WAZIRI MWAKYEMBE AMKABIDHI KAMUSI KUU YA KISWAHILI WAZIRI SIMBACHAWENE MJINI DODOMA


Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dk Harrison Mwakyembe akimkabidhi Kamusi kuu ya Kiswahili  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.George Simbachawene leo Mjini Dodoma.

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dk.Harrison Mwakyembe akitia saini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Ofisi za TAMISEMI mjini Dodoma.Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.George Simbachawene.


Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.

Post Top Ad

advertise here +255755 300 337