MTAZAMO NEWS

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASALIMIANA NA MABALOZI WA UINGEREZA NA MAREKANI- BUNGENI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini, Mheshimiwa, Sarah Cooke kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Juni 8, 2017. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini, Mheshimiwa Inmi Patterson kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma  Juni 8, 2017. 

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Copyright MTAZAMO NEWS  | Created By Jack Moffat

  • Mtazamo News . Powered by Blogger.